Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"Dhambi ya ubaguzi itatutafuna"
ReplyDeleteWetu sisi si muungano Bali ni mmoja kumtawala mwengine tunapenda muungano na watanganyika ni ndugu zetu wa damu tokea asili lakini tunahoji Muungano huu ni wa aina gani Duniani?Mbona hatutaki kuelewa lakini sifikiri Kama Watanzania hawaelewi ila wanajipumbaza.
ReplyDeletenendeni zenu huko ishawakaa rohoni sasa hatutaki ni Mkataba tu
ReplyDeleteTATIZO SIO MUUNGANO KWA TANZANIA MUUNGANO NI JAMBO ZURI NA NEEMA KUBWA KWA TAIFA LETU NI KITU CHA KUJIVUNIA SANA SANA.
ReplyDeleteTATIZO NI CHAMA TAWALA KUANZIA TANU HADI LEO CCM KWA KUPITIA SIASA NA UONGOZI WA CHAMA HIKI MUUNGANO UMETUMIWA KAMA NDIO CHOMBO CHA KUIMEZA ZANZIBAR NA KUIINGIZA NDANI YA TANGANYIKA KAMA MOJA WAPO YA MIKOA YA TANZANIA BARA HILI NDIO KOSA KUBWA LILILO TENDEKA.
NI LAZIMA TUKAELEWA NCHI INAPOUNGANA NA NYINGINE KUUNDA TAIFA MOJA NA KUKUBALIANA KUHESHIMU MIPAKA YA NDANI NA KUORODHESHA TAASISI NA WIZARA KADHAA KUWA ZINAJITEGEMEA NA ZISIWEMO KATIKA SERIKALI KUU HAYA ILIKUWA NI WAJIBU WA NCHI ZOTE MBILI KUYAHESHIMU NA KUYAACHA KAMA WALIVYOKUBALIANA AWALI SASA UVUNJAJI WA MAKUBALIANO YA AWALI NA KUONGEZA KINYEMELA MADARAKA YA TANGANYIKA MWENYE MIPAKA YA ZANZBAR KWA KISINGIZIO CHA NCHI MOJA SUALA LINAKUJA KWANI MWAKA 1964 TULIPOUNGANA TULIKUWA NCHI NGAPI? KAMA TULIKUWA NCHI MOJA TANGU HAPO KWA NINI HAYA YANAYOONGEZWA KILA SIKU YALIKATALIWA HAPO AWALI?
UJANJA WA BAADHI YA VIONGOZI AKIWEMO MWALIMU WA KUTAKA KUIWEKA ZANZIBAR NDANI YA HIMAYA YA BARA NDIO CHANZO CHA MGOGORO TULIO NAO LEO HUU UKWELI HAUPINGIKI.
SASA HII RASIMU MPYA IWEKE WAZI KUWA HIZI NI NCHI MBILI ZINAZOJITEGEMEA NA IWEZE WAZI USHIRIKIANO WETU UPO KATIKA TAASISI AU WIZARA ZIPI, KAMA KUNA KUNDI AU CHAMA CHA SIASA AMBACHO WANAFIKIRI KUNA MBINU ZA KUWEZA KUTUMIKA KUIINGIZA ZANZIBAR KWA MLANGO WA NYUMA KATIKA MAMLAKA YA TANGANYIKA AU TANZANIA BARA KAMA WANAVYOIBATIZA UPYA KWA JINA HILO MIMI ONYO AU NATOA TAHADHARI KUWA WAWE TAYARI KWA ZANZIBAR KUJITOA KABISA KWANI HILO LITATOKEA HASA KWA KUWA ZANZIBAR WASIOTAKA MUUNGANO NI ZAIDI YA ASILMIA 70 HIZI TAKWIMU SAHIHI ZA KISAYANSI SIO ZA KICHAMA.
MIMI MUUMINI WA MUUNGANO NA NITAUTETEA SIKU ZOTE KWA KUWA NAJUA UMUHIMU WAKE KATIKA UCHUMI NA USALAMA WA TAIFA LETU PAMOJA NAKUDUMISHA AMANI LAKINI MUUNGANO HUU TULIONAO SASA HAUKUWA WA HAKI HILO NALIJUA TANGU 1972 BAADA YA KIFO CHA MZEE KARUME NDIO KILA DHULMA YA RASIL MALI YA ZANZIBAR ILIANZA KUPELEKWA MRIMA IKAFUATIA KUZALIWA KWA CCM 1977 MPAKA LEO KUNA TRA ZANZIBAR KITU AMBACHO KARUME SR ALIKIKAA TANGU ENZI ZA AMIR JAMAL NA MWALIMU SASA NI VEMA TUITEMBELEA HISTORIA NA KUSOMA WAPI TULIPOKOSEA BILA KUONEANA HAYA NA KUREKEBISHA IKIWA KWELI TUNA NIA NJEMA KATI YETU BARA NA VISIWANI NA HAKUNA UKUBWA NA UDOGO WA MAENEO KATIKA KUGAWANA URITHI WA RASILMALI,HIYO NI SAWA NA KUSEMA KWA VILE BWANA HARUSI NI MREFU KULIKO BI HARUSI BASI NYAMA ALE BWANA HARUSI TU WALI MKAVU AACHIWE BI HARUSI NAE ATARAZAK.
ASANTENI.
MWANA SIASA WA ENZI ZA KAMBONA NA ABRAHMAN BABU.
TUMBATU ISLAND,ZANZIBAR.
hata mkataba hatutaki , kila mtu achukue nchi yake tugawane mali zilizopo kwa amani , ili tuendelee na kushirikiana kwa njia nyengine kama vile tunavyoshirikiana na uganda na kenya
ReplyDeleteKumwagiana tindikali ndo amani hiyo?
ReplyDelete