Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, inawaletea kipindi  kipya cha BONGO VIEWS kitakacho endeshwa LIVE kila Jumamosi  midaa ya Saa 5 PM za Marekani ya kati 6: PM Jioni EST na kwa saa za nyumbani Tanzania  ni Saa 1: AM (Yani Saba Usiku) kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea HAPA Global Entertainment and News Network (GENN)
Photo
Muendesha wa kipindi cha Bongo Views Joshua Kijo Simon Madelkeka walioendelea kujadili  Mjadala kuhusu Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili.na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)
Photo: BONGO VIEWS: ANDY MKINGA and BAVON
Wachangiaji kipindi  kushoto Mjombo Andrew Mkinga,  akiwa na Anko Bavon Mwakasungula, wakijadili Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)
Kipindi cha Bongo Views  kitaendele  tena hewani LIVE wiki hii, siku ya Jumamosi Aug 24, 2013  MIDA ya Saa 5: PM  kwa Saa za Marekani ya kati.  Saa 6:PM jioni kwa Saa za EST US.  Na Tanzania Saa 1:AM Usiku kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea. HAPA Global Entertainment and News Network (GENN). Mhadala utakua kuhusu Madawa ya kulivya, Nchini kwa kuchangia njia ya simu piga simu number  (913) 662-1190

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Da wanyamweziii hahahahahah........

    ReplyDelete
  2. niongelee tu swala la tax, kwa marekani kama umelipa tax nchi nyingine na tax uliyolipa ni ndogo kuliko kama ambayo ungelipa hapa marekani on the same income then the difference will due, kama tax uliyolipa nchi nyingine ni kubwa kuliko ambayo ungelipa hapa marekani e.g umelipia 10% ya income yako na kwa marekani ungelipa 8% ya income then the 2% will be refunded to you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...