LEO TAREHE 23 AUGUST NI SIKU
BIRTHDAY YANGU BLOGGER MC BARAKA.
NI KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA NAPENDA KUWASHUKURU NYOTE MNAO NITUMIA SALAMA ZA PONGEZI PIA WOTE MNAONITUMIA ZAWADI MBALIMBALI KIUKWELI SINA CHA KUWALIPA ZAIDI YA KUUWEKA UPENDO WENU MOYONI MWANGU
SHUKRANI KWA TEAM NZIMA YA BUKOBAWADAU BLOG PIA SHUKRANI KWA MABLOGGER WENZANGU KWA USHIRIKIANO MKUBWA MNAONIPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...