Kwa mujibu wa familia ya Marehemu, Mwili wa Marehemu Alex Magafu (pichani) aliyefariki dunia tar 21/8/013 utaondolewa katika Hospitali ya Amana pale Ilala leo
tar 23/8/013 mida ya Saa 4 nne asubuhi na kupelekwa nyumbani Mbezi karibia na
Kituo cha mabasi cha Kibanda cha Mkaa.
Saa Tano taratibu za ibada zitafanyika
na kisha Saa Saba Mchana safari itaanza kuelekea Makaburini kwa kuupumzisha mwili wa
mwenyetu salama.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi;
0658431919 au 0658941941
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWA JINA LABWANA LIHIMIDIWE. APUMZIKE KWA
AMANI NDUGU YETU. AMIN
RIP MDAU ALEX, TULIKUPENDA SANA, TUTAZIDI KUKUMBUKA DAIMA. Mimi rafikio SIXMUND
ReplyDeletePumzika kwa Amani jogoo
ReplyDeleteTulikupenda ila mungu kakupenda zaidi,pumzika kwa amani alex.
ReplyDelete