Home
Unlabelled
KUTOKA MAKTABA: MA-DJ WAKALI KULIKO WOTE WALIPOKUTANA CHINI YA PAA MOJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ebwana eeh mkuu umenikonga kisawa sawa leo roho yangu najisikia furaha tele maka nimeokota mamilioni ya pesa barabarani, yani picha hii imenikumbusha mbali mkuu wee achaaa, sioy enzi hizi ma dj mchwarwa mcharwaaa samani wanafanya kazi kisawa sawa na kuwaburudisha watu kichizi na mtu unatoka kwenye disco hujachomwa kisu wala kupigwa bastola wala nini unaserebuka kwa raha tupu
ReplyDeleteAllah akubarik mkuu nimefurahi sana kuona picha hii thanks man
Where is Chris Phabby?
ReplyDeleteNakumbika msasani beach walikua wanapiga na Kali kali..
michuzi kazi yako hiyooo...mpiga picha mkuu wa madisco yote ya mjini dar..enzi hizo ukitupiga picha ndani ya madisco na kutuletea picha zetu wiki inayofuata...katikati ya watu na mdundo kama kawa mjomba unanyakua photo !! umetoka mbali wewe !!
ReplyDeleteHuyu Niga Jay ndio Masoud Masoud kama sikosei. Sura yake haipotei.
ReplyDelete