Katika kuimarisha mahusiano na ujirani mwema kwa vilabu vya jogging, wanamichezo kutoka vilabu vya Biafra na Namanga vilifanya mazoezi ya pamoja ambayo yalianzia mtaa wa Isere na kuingia barabara ya Kawawa hadi barabara ya kuelekea kwa Kopa mpaka kwenye makutano ya barabara ya Mwananyamala kuelekea Viktoria, kisha barabara ya Bagamoyo hadi Sayansi kwenye makutano ya barabara ya Rose Garden (Tembo Avenue) kutokea kwa Nyerere, kisha kufuata barabara ya Mwai Kibaki hadi Moroko kuelekea Biafra na kumalizia klabuni. Fuatilia matukio kwa picha.
Tulikutana na vijana wa Mwendo Kasi Jogging (wenye jezi nyekundu)

Tulipata bahati ya kukutana na bibi ambaye alituunga mkono kwa kukimbia pamoja nasi. Kwa picha zaidi
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nimemfurahia sana huyu mama.Wadau wa michezo jamani pamoja na makampuni wekeni utaratibu wa mbio mbali mbali nchini,kuwe na kiingilio cha kiasi,Itasaidia sana,kabla ya hapo watu watakuwa na mazoezi na kujipima muda ambayo itasaidia watu tuwe fit.Kisha kuwe na mbio za umbali mbali mbali mfano nusu marathon,kisha km 10 na km 5 na cut off time ya kutosha ili watu wengi washiriki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...