Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati wa kula futari iliyoandaliwa na Mtemvu kwa waumini mbalimbali juzi jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakipata futari kwenye mgahawa wa City Garden, Gerezani, Dar es Salaam
Akina mama wakipata futari
Acha tupate futari ya mwisho mwisho
Sheikh wa Msikiti wa Azimio, Tandika Dar es Salaam, akitoa mawaidha wakati wa futari hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema akitoa salmau za serikali wakati wa futari hiyo.
Mtemvu akimpongeza DC wa Temeke, Sofia Mjema. Kulia ni mkewe Mtemvu
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida akizungumza na wanahabari wakati wa futari ambapo alisisitiza wanachi kudumisha amani nchini.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mambo mazuri Temeke mbunge Zuberi Mtemvu katika Iftar nawaona dada,kaka na marafiki zangu pia sheikh mkuu wa Temake,nimekosekana mimi ndugu yenu nayafurahia japo nipo mbali na nyumbani. Mungu akuzidishie,akupe maisha marefu yenye afya njema uendelee kutuhudumia mbunge wetu wa kudumu
ReplyDeletemikidadi-denmark
Mbona Shehe Ponda hajawai kufuturisha?
ReplyDelete