Waziri wa Nchi Ofisi - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassan akifungua mkutano wa baraza la katiba la ofisi ya Makamu wa Rais jijini dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,bw. Sazi Salula, Naibu Katibu Mkuu Bw. Ngosi Mwihava kulia na kushoto Mkurugenzi wa Idara ya Muungano ofisi ya makamu wa Rais bw. Baraka Baraka wakiwa katika mkutano wa baraza la katiba la ofisi hiyo jijini dar es salaam leo.
watumishi wa ofisi ya makamu wa rais na baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira NEMC wakimsikiliza waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais muungano, hayupo pichani alipofungua mkutano wa baraza la katiba la ofisi ya makamu wa rais jijini dar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...