One of the most wanted and successful music group, Ngoma Africa Band (Golden Voice of East Africa) also commonly known as FFU (Field Force Unit) or "Anunnaki Aliens" based in Germany, have been named and awarded  "Best African band" 2013 after thrilling over 100,000 fans at International African festival Tubingen 2013.
Ngoma Africa band's popularity is growing, having been founded 1993 by Tanzanian born Afro-pop star Ebrahim Makunja also known as Kamanda Ras Ebby Makunja "The King of Anunnaki Aliens". 
The band is famous for its thrilling shows in festivals in different parts of Europe. The band's joyful female dancers, wearing traditional costumes and dancing vigorously to their tunes, always leave fans asking for more. 
Ngoma Africa Band have a number of talented musicians including Multi-Talented soloist Christian Bakotessa aka Chris-B, Matondo Benda aka Professor Mo Benda, Flora Williams, Aj Nbongo, Jonathan Sousa aka "Jo Jo" (Crazy Drummer), Glory, Jessica Ouyah.
Most of their  their songs are in Swahili and other Eastern African languages. Reportedly with over 30 million fans worldwide they have  become a Global people's band. 

For further information about Ngoma Africa Band and to listen to their music, please visit

Ngoma Africa band in action
Multi-Talented soloist Christian Bakotessa aka Chris-B
Tanzanian born Afro-pop star Ebrahim Makunja also known as Kamanda wa FFU Ughaibuni Ras Ebby Makunja "The King of Anunnaki Aliens".
Ngoma Africa band members

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. naona maafande wa FFU wasiokosea kazi
    a.k.a "Watoto wa Mbw....." nchini ya
    Kamanda Ras makunjas mtawala wa viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens kutoka special planet "Bongo"

    ReplyDelete
  2. Kaka braza mkuu wa FFU kamanda ras makunja mwenye kuzikaanga mbuyu zikaangika naona kikosi cha FFU ughaibuni kinavyofanya kweli

    ReplyDelete
  3. kikosi maalumu cha FFU ughaibuni mnakubalika na mapambano mnayeweza,hongereni sana ffu aka watoto wa mbwa chini ya kamanda mkuu kazi ras makunja mmiliki wa himaya ya ANUNNAKI Empire

    ReplyDelete
  4. Ili kuonyesh Alama ya Mafanikio ya Bendi ktk ziara yenu ya Ulaya baada ya Tuzo ya Bendi Bora, inabidi Ras Makunjazzz Kamanda UANDAE BUNDI WA KUMRUSHA KTK KILA UKUMBI UTAKAO PANDA JUKWAANI!!!

    Je. Ras Makunjazzz Kamanda Stock ya idadi ya Bundi waliopo Tunduni hapo Anunnaki Empire watatosha kuwazawadia Mashabiki Miji yote ya Ulaya?

    Si bora unipe Tenda mimi Mkonongo huku mwana Ukoo wako niwasake Bundi maporinina misituni kuanzia Musoma-Kaybakali, kupitia Nyaisho-Bukoba na Kiziba-Bukoba hadi Manyovu-Kigoma, Malampaka-Shinyanga, Isevya-Tabora, Bahi-Dodoma, Kantalamba-Ufipani, hadi Lude-Iringa, kupitia Natnumbo-Songea, Tandahimba-Mtwara, hadi Mahuta-Newala?

    Inawezekana nikafikisha Gallery ya Budni kama LAKI MOJA!!! ambao watatosha (teh, teh, teh!)

    Halafu utaniandalia mimi mwenyewe nitawaleta hadi Ujerumani!.

    Wajeremani wakiuliza unakpeleka wapi, nitawajibu pana Tambiko imeandaliwa na Ras Makunjas yule aneyetumia alama ya Ndege (Bundi) kama ninyi Serikali ya Ujerumani mnavyotumia Ngao yenu yenye alama ya ndege pia.


    NADHANI KWA USAKAJI WA BUNDI MKOA HADI MKOA KTK TANZANIA PATAKUWA NA MCHANGANYIKO WA BUNDI WA JAMII ZA MIKOA KARIBUNI YOTE NCHINI WAKITUWAKILISHAWANA TANZANIA HUKO ULAYA!

    ReplyDelete
  5. Je, Ras Makunjas katika ziara hiyo ya nchi za Ulaya utaambatana na Bundi wangapi kutoka Tunduni hapo Anunnaki Empire ?

    ReplyDelete
  6. Heti kamanda Ras makunja tumetonywa kuwa baadhi ya BUNDI hapo katika himaya yako ya Anunaki Empire wameshaanza kutaga mayai ?
    Sasa kama wakitotoa vifaranga si patakuwa kero kwa majirani zako au?

    ReplyDelete
  7. Kamanda Ras Makunja mie nakushangaa sana nyie watu wa Pwani Dar,Rufiji,Kisiju walikotokea babu zako mna asili ya kufuga kuku sasa wewe kamanda unafuga Bundi,tena hata pale kwenu kariakoo ni wafugaji wa njiwa ! utotoni mwenu wote mlikuwa mnawinda njiwa sasa vipi ?inafunga bundi

    ReplyDelete
  8. Ngoma Africa aka ffu nawakubali sana,kikubwa mnachovutia pamoja na muziki wenu ni majina yenu yanatisha sana kama jina FFU ,Watoto wa mbwa,
    harafu kiongozi wenu Baba Mtukutu ,Field-marshal III,kamanda Ras makunja makao yake Anunnaki empire ! pia mtawala wa viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens,viumbe ambao inasemekana pia ni walinzi wa msafara wa bendi ! maafande mnatishia wapinzani enu

    ReplyDelete
  9. Mara nyingine kikosi kazi ffu kilegea legea kazini tunasikia kamanda anamrishaga askari wa ziada maarufu kama Anunnaki kutoka katika Anunnaki Empire

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...