Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. idara siku hizi imekuwaje? mbona watoto wadogo sana? wanaweza kweli kumlinda mkuu wa nchi?!

    ReplyDelete
  2. Very interesting

    ReplyDelete
  3. Waswahili wako bado hata Zimbabwe, geee,

    ReplyDelete
  4. anonymous wa kwanza; ukiona hivyo, wewe sasa umekuwa mzee. ndio umri unaopendekezwa huo kaka!

    ReplyDelete
  5. Bora tuwe na Undugu na Zimbwabwe tusiyo na Mipaka nayo kuliko kuwa na Undugu wa Kiunafiki wa EAC na nchi kama Kenya, Rwanda na Uganda!!!

    Ktk EAC afadhali Burundi hawana agenda ya siri na Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...