Mwishoni mwa wiki Benki ya NMB ilishiriki futari na wateja wake jijini
Zanzibar.Hii ni katika kuendeleza mahusiano mazuri ambayo yamekwisha
jengeka baina ya wateja wa NMB na Benki ya NMB.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akishukuru
uongozi wa NMB kwa kuandaa wasaa mzuri na kushiriki katika kukamilisha
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Hii ilikua katika futari iliyoandaliwa na
Benki ya NMB tawi la Zanzibar kwenye hoteli ya Zanzibar Ocean view
Zanzibar mwishon mwa wiki.
Maofisa wa NMB wakiwa wameambatana kuingia ukumbini na mgeni
rasmi(katikati) katika hafla hii ya kushiriki futari na wateja wa NMB
mjini zanzibar
Meneja Mawasiliano NMB, Josephine Kulwa nae hakubakia nyuma
kushiriki wasa mzuri na wateja wa NMB
Mkuu wa kitengo cha akaunti binafsi wa NMB, Abdulmagid Nsekela
akiongoza wageni waalikwa katika kupata futari
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...