Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi. Seif Ali Idd (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ushindi wa kwanza kundi la Sekta ya Mawasiliano, Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis wa Maonesho ya kilimo Nane Nane wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kitaifa Nzuguni Dodoma
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis akiwa a kikombe chao cha Ushindi wa kwanza Sekta ya mawasiliano katika Maonesho ya kilimo Nane Nane wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kitaifa Nzuguni Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...