Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akila kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013
  Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akivishwa shada na medali baada ya kula kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013


  Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akishukuru wananchi baada ya kula kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013

  Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akisalimia wanannchi baada ya kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013

 JK akimpongeza Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe katika sherehe za kula kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hulu mjamaa atakuwa rais wa kwanza Africa kuongoza hadi miaka Mia Mona, ataweka historia

    ReplyDelete
  2. to me it appears that people of Zimbabwe still love Mugabe

    ReplyDelete
  3. Hii sifikiri ni ishara kuwa uchuguzi ulikuwa feki, pia ni dhahiri kuwa uma wampenda komredi Mugabe. Basi jamaa wamuacheni aendelee na kazi. Na huyo ndugu Changarawe atafute kazi nyingine.

    ReplyDelete
  4. GO JONGWE....GO!

    ReplyDelete
  5. Mdau wa 4 hapo juu:

    ...GO JONGWE ....GO!

    Sio kila Jogoo katika Afrika amewika kwa muendelezo ni hapo Zimbabwe tu ndio Jogoo amefanikiwa kuwika tokea mwaka 1980 hadi leo hii 2013.

    Wapo Jogoo wengine kama yule wa KANU-KENYA, wa UNIP-ZAMBIA na jogoo wa UNITA-ANGOLA ambaye ana PANGA ama Mundu Mkononi hawa atatu walikwisha kula Kisu kitambo tu!

    ReplyDelete
  6. Uchaguzi umeenda kihalali kwa Haki na Demokrasia!,

    sasa Magharibi na Dunia muifungulie Vikwazo vya Kiuchumi Zimbabwe.

    ReplyDelete
  7. Ingawa watu watabeza urefu wa muda ktk Madaraka.

    Licha ya hilo, mimi naona hii itawakata ngebe nchi za Magharibi kwa tabia mbaya ya kupenda kuwaamulia nchi za Kiafrika mambo yao.

    Hawakutana hasa Uingereza huyu Mzee Robert ashinde, lakini hakuna jinsi ameshinda!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...