Meneja wa tasisi ya Wazanzibari wanaoshi Canada (ZANCANA) Bishara Al-masroor wakati alievaa mtandio mweupe akiwa na wakilishi wenziwe wakimkabidhi msaada wa sare za wauguzi,(wamwanzo kulia) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, huko Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, akiwa na Wazanzibar wanaoshi Canada katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi sare za wauguzi, huko Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...