Wajumbe wa Baraza la Katiba katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga wakipitia Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika Wilayani humo tarehe 21. Agosti, 2013.
Mjumbe wa Baraza la Katika katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Mkoani Dodoma, Dkt. Bright Boniface Mmbaga akichangia akichangia hoja kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mkoani humo tarehe 13. Agosti, 2013.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Riziki Ngwali akimsikiliza mmoja wa Mjumbe wa Baraza la Katiba katika Baraza la Mji wa Mkoani, Pemba aliyetaka kupata ufafanuzi wa vipengele vilivyopo katika Rasimu ya Katiba Mpya wakati wa mkutano uliofanyika Pemba tarehe 21. Agosti, 2013.
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya wakiwa katika mjadala wa pamoja wa kuijadili na kuitolea maoni Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika Wilayani humo tarehe 19. Agosti, 2013.
Mjumbe wa Baraza lam Katiba katika Halmshauri ya Wilaya ya Temeke, Mkoani Dar es Salaam, Bi. Bi Salama Masoud akichangia hoja kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika Halmshauri hiyo tarehe 21. Agosti, 2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MDAU HUYO MJJUMBE JUU ANAITWA RIZIKI SHAHARI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...