Wazee wa kazi SERENGETI FREIGHT walikutana na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda alipofanya mkutano na Watanzania waishio UK jijini London wiki hii. Pichani Mheshimiwa Pinda na Mama Pinda wakiwa kwenye picha ya pamoja na wazee wa kazi CHRIS LUKOSI kulia na Mohsin Kushoto. Kati ni Baraka Baraka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...