Mshambuliaji wa timu ya  Mbeya,Yusuf Honroli (kushoto) akiwania mpira na mabeki wa Kilimanjaro,Abidal Ramadhani (kulia) na Simon Soka  katika mashindano ya Copa Cocacola kwenye Uwanja wa Karume 
 Timu ya Copa Coca-Cola ikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere muda mfupi kabla ya kukwea pipa kuelekea Afrika Kusini kwenye kambi ya mafunzo ya soka yakishirikisha timu za vijana kutoka barani Afrika. Anayehojiwa ni Afisa Habari wa Coca Cola Tanzania Gerald Ndalahwa. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...