Mbunge wa Jimbo la Muyuni  Mahadhi Juma,(kulia)akionesha Cheti alichokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati)kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe,kwa mchango wake alioutoa kwa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini katika hafla ya Harambee iliyofanyika Karafuu Hotel Michamvi,Wilaya ya Kati (kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Kati Vuai Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akimakabidhi Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa Mkoa wa Kusini Unguja Jafar Sanya,cheti kwa kukichangia chama cha Mapinduzi katika hafla iliyofanyika huko Karafuu Hotel Michamvi Wilaya ya Kati

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea fedha tasilim shingi za Kitanzania Milioni Moja kutoka kwa Mohamed Naushad,wakati wa Hafla ya kukichangia Chama cha mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja,huko katika Hoteli ya Karafuu Michamvi Wilaya ya Kati.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...