Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kusema ukweli kisheria mtu ambaye ameathilika ni lazima amwambie mtu ambaye anajamiana nae kama yeye ameathilika.Asipo sema basi kadhamilia kua.

    ReplyDelete
  2. Kuna State za USA ngono nje ya ndoa ni kosa la jinai. Je mnalijua hilo?

    ReplyDelete
  3. Dah! mada kali sana hii. Jamaa "LIBE" una akili sana we jamaa. Maoni yangu, naona kuweka sheria ya ukimwi katika katiba itakua ni kupoteza muda, kwani magonjwa mbali mbali yanakuja na kupita. Je yote tutayatungia sheria?! Ingawa ukimwi ni janga kubwa lakini litapita. Cha muhimu ni kuwaelemisha watu, "ELIMU" ya kujikinga(ndiyo personal rensiposibility). Ili wasione kama wanabaguliwa bali wawe wasaidizi kusaidia kutokomeza ilo janga. Ata sasa utaona madada poa ulimwenguni kote ndiyo wachache sana kupata magonjwa kwa sababu wana elimu ya kujikinga ingawa wanatembea na watu wengi.

    ReplyDelete
  4. Mnataka elimu gani tena jamani..miaka ishirini mnaambiwa kitu kimoja tuu kila kukicha, tumia kinga, tumia kinga, tumia kinga..halafu bado mnataka elimu - ipi tena? TUMIA KINGA? achani ubwege. Ulaya walimbiwa, ukimwi ni ugonjwa hatari na unaua, ukitaka kujamiiana tumia kinga. Unafikiri ulaya hakuna ukimwi? Upo ila wanatumia kinga na walionao wanatumia dawa na kila mtu ameshaelewa nini cha kufanya na hakuna mabango kila kona ya mtaa kwasababu watu wamekwisha elewa. Tunahitaji sheria tu basi - FULL STOP - ukiambikiza huku unajua ni kesi ya mauaji.

    ReplyDelete
  5. Kuna baadhi ya nchi za ulaya mfano Ujerumani ukijulikana wewe ni HIV postiv kuna karatasi ya maelezo unapewa kutia saini kwamba ukifanya tendo la ngono lazima utumie kinga la sivyo ukijulikana umemuambikza mtu unashitakiwa kwa makosa ya jinai.

    ReplyDelete
  6. "anayejamba akinuka atoke" LMAO!! Duh hii burudani.

    ReplyDelete
  7. MDAHALO MZURI SANA LAKINI WOTE WANAONGEA MAWAZO YAO YOTE NI YA HAPA NA PALE WANAGUSA GUSA LAKINI HAWAJAPATA WAZO LA MBOLEA WANA WAWEZA WAKAJADILI MWAKA MZIMA NA WASIFIKIE UFUMBUZI, KWA NINI WANAANGALIA WAPI TULIPOANGUKIA? NI LAZIMA TUANGALIE WAPI TULIPO JIKWAA LA MUHIMU TUSIANGALIE WENYE UKIMWI SASA LA MUHIMU TUJADILI WASIOKUWA NA UKIMWI TUFANYE NINI ILI WASIAMBUKIZWE, WAZO LANGU NI KUACHA NGONO ZEMBE NA KUFUATA UTARATIBU WOTE WA DINI ZETU TUNASHAURIWA VIPI?NA DAWA YA UKIMWI KUOA NA KUWA MWAMINIFU KTK NDOA.(mjukuu wa Sultan USA).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...