Mwenyekiti wa Mamlaka ya Majisafi
na Usafi wa Mazingira Wanging’ombe Philimon Luhanjo akikagua gari
alilokabidhiwa. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Christopher Sayi.
Nyuma ya Luhanjo ni Meneja wa Mamlaka ya Wanging’ombe, Mhandisi Najib
Wasumbwile.
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Majisafi
na Usafi wa Mazingira Wanging’ombe Philimon Luhanjo akisaini kitabu cha wageni
ofisi kwa Naibu Waziri wa Maji, Wakwanza Kulia ni Naibu Waziri wa
Maji Mhandisi Dk. Binilith Mahenge, katikati
ni K.G Bwire mfanyakazi wa Wizara ya Maji.
Kutoka kushoto; Naibu Waziri wa
Maji, Mwenyekiti wa Mamlaka ya Wanging’ombe, Katibu Mkuu Wizara ya maji na
Mbwire wakielekea kwenye gari, tayari kwa ajili ya kukabidhiwa Mamlaka
ya majisafi
na usafi wa mazingira Wanging’ombe.
Mwenyekiti wa Mamlka ya Majisafi
na Usafi wa Mazingira Wanging’ombe, Philimon Luhanjo akimshukuru Naibu Waziri
wa Maji Mhandisi Dk. Binilith Mahenge kwa kumkabidhi gari. Wakwanza
kulia ni Katibu
Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Chritopher sayi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...