Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima wa Tanzania
jijini San FranciscoMh.Ahmed Issa,(wapili kushoto) muda mfupi baada ya kufungua
ofisi za ubalozi wa Tanzania jijini San Francisco nchini Marekani leo
jioni.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula na
kulia ni mke wa balozi Ahmed Mama Sherry julin Issa.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe
kufungua rasmi ofisi ya ubalozi wa heshima(Honorary Consulate) wa Tanzania
jijini San Francisco nchini Marekani leo jioni.Kulia ni Balozi wa heshima wa
Tanzania jijini San Francisco Mh.Ahmed Issa na kushoto ni Balozi wa Tanzania
nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula na wapili kushoto ni Mke wa Balozi Mama
Sherry Julin Issa.
Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio jijini San
Francisco Marekani muda mfupi baadaya kufungua ubalozi wa heshima wa Tanzania
na kuzungumza nao leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya
MrishoKikwete akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio jijini San Francisco
Marekani leo jioni.Rais Kikwete yupo nchini Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo
pamoja na mambo mengine atahutubia kikao cha 68 cha Umoja wa Mataifa Jijini New
York Marekani(picha na Freddy Maro).
wekeni video clips ili tusikie kilichosemwa. Tuna masikia ati!!!!!
ReplyDeletembona kama hamna watanzania huko california??
ReplyDelete