Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi uwanja wa ndani wa michezo kwa kukata utepe. Walioshika utepe huo kutoka kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Malya Ndugu Allen Alex, Dkt. Fenella Mukangara, Waziri wa Habari, Vijana, Utamadunu na Michezo, Ndugu Richard Ndassa, Mbunge wa Sumve na wa mwisho ni Mbunge wa Kwimba.
Mkuu wa Chuo cha Michezo cha Malya Ndugu Allen Alex akimwelezea rais Jakaya Kikwete ramani ya eneo lote la chuo mara tu baada ya uzinduzi wa uwanja wa ndani wa michezo.
Rais Jakaya Kikwete akipokewa kwa shangwe na hoihoi wakati alipowasili kwenye Chuo cha Michezo Malya kilichoko wilayani Kwimba tarehe 9.9.2013. 
Rais Jakaya Kikwete akifungua rasmi kituo cha polisi cha wilaya ya Kwimba mjini Ngudu tarehe 9.9.2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mhe. Raisi JK,

    Mkaribishe nduguyo Raisi Paul Kagame ili mpate muda kwa pamoja kutembelea Kwimba!

    Maana hapo Wilayani Kwimba sio mbali sana na Jamhuri ya Rwanda!!!

    ReplyDelete
  2. mbona kimya JK anachanja Mbuga nyie tianeni makonde

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...