Shamo Towers & Shopping Centre sasa unaweza kupata huduma mbalimbali Kama;
- huduma za ki Benki
- Huduma za afya na pharmacy Aga Khan Medical centre.
- Boutique ya kisasa
- Baby shop & Gift Shops
- Electronics shop
- Coffee Shop & fast food restaurant.
- stationaries Shop.
- Furniture centre.
- village Supermarket, Voda Shop & Bureau de change. Kufunguliwa karibuni.
Mbezi towers ipo Mbezi Beach, karibu na tangi bovu.
DUKA LA GALINA - FUN ZONE GIFT SHOP
COFFEE SHOP- BOOGIE WOOGIE
DUKA LA KIAFRICA -WAQWETU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...