Mh Mwigulu Nchemba MB
Chama cha mapinduzi Washington DC, Virginia na maryland tunapenda kuwatangazia na kuwakaribisha siku ya Jumapili tarehe 29/9/13 kuanzia saa 9 jioni ukumbi 1401 Universty of blvd MD 20783 Langley Park [ mirage hall] Mh Mwigulu Nchemba MB na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi atazungumza na Watanzania maswala mbali mbali yanayowagusa watanzania walio nje na maendeleo ya taifa letu kwa ujumla shime watanzania wote kuhudhuria
kukaka kwenu America tulitegemea mmejifunza misingi na umoja wa America ambao haukujengwa kwa misingi ya vyama bali kwa umoja na utaifa wao hasa wapokuwa nje ya America. ni tegemeo langu tungeweza kupata mawazo mapya ambayo hayako kwa misingi ya vyama bali kwa ukombozi wa taifa lilokwama kwenye umasikini wa kupitiliza, kukosa huduma za msingi za afya, elimu na ukombozi wa uchumi.wapendwa nawaomba tuachane na fikra vya vyama vinafikri bila hivi vyama taifa haiwezi kusonga mbele ambavyo si kweli.
ReplyDelete