Balozi wa India nchini Bw.Debnath Shaw akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya ushirikiano wa kiufundi na kiuchumi kati ya Tanzania na India( Indian Technical and Economic Cooperation)( ITEC DAY) yaliyofanyika India Cultural Center,Dar es Salaam hivi karibuni
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi akihutubia wakati wa wahafla ya ITEC DAY iliyofanyika India Cultural Centre Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya watumishi walionufaika na mafunzo yanayofadhiliwa na serikali ya India wakimsikiliza Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (hayupo pichani) wakati wa maadhimisho ya siku ya ushirikiano wa kiufundi na kiuchumi kati ya Tanzania na India( Indian Technical and Economic Cooperation)( ITEC DAY) yaliyofanyika India Cultural Center,Dar es Salaam hivi karibuni.
Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa umma waliopata ufadhili wa masomo chini ya programu ya Indian Technical and Economic Cooperation (ITEC) mara baada ya hafla iliyofanyika India Cultural Centre hivi karibuni.Kulia kwake ni balozi wa India nchini Bw.Debnath Shaw.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...