Balozi Mbelwa Kairuki (kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia akielezea maendeleo ya miradi mbalimbali inayofadhiliwa na Serikali ya Japan.  Balozi Kairuki alikutana mapema leo na Profesa Takahashi Motoki kutoka Taasisi ya Masomo ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Kobe, nchini Japan.  Profesa Motoki na Ujumbe wake hupo nchini kutathmini malengo ya misaada inayotolewa na Serikali ya Japan kwa Tanzania. 

Mkutano ukiendelea.
Profesa Takahashi Motoki (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo hayo.  

Balozi Kairuki (watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Wataalamu kutoka Japan, ikiongozwa na Profesa Takahashi Motoki kutoka Taasisi ya Masomo ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Kobe, nchini Japan.
Picha na Tagie Daisy Mwakawago.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyu Balozi naye, hebu piga kama wenzio.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...