Bondia Zumba Kukwe kushoto akimtupia ngumi Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika  kwenye ukumbi wa Temeke Mikoroshini jiji ni Dar es salaam ambako ni nyumbani kwa Hamaduu. Kukwe alishinda kwa KO ya raundi ya tatu
Refarii Sako Mtulya  akimhesabia bondia Hamadu Mwalimu baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Zumba Kukwe. Kukwe alishinda mchezo huo ka KO ya raundi ya tatu 

Bondia Zumba Kukwe akisagilia ushindi na Kocha wa Mkoa wa Pwani Agostin Uyaga baada ya kwisha mpambano huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...