Hajjat Mwatumu Malale anasikitika kutangaza kifo cha Shangazi yake Rose Henrisch Sangiwa Mataji kilichotekea jana usiku huko Rochester, NY, Marekani.
Habari ziwafikie, Ukoo wote wakina Bakari Sangiwa Mtengeti Sangiwa Koshuma Sangiwa Kihama Sangiwa Athumani Sangiwa Henrisch Sangiwa ukoo wote wa kina Ngoma kwa Mdimu. Dr Twalib Ngoma Dr Mdimu Ngoma Ukoo wote wa Ngoma wa kwa Mdimu, pia kwa familia ya Rtd. Col. Julius Mataji wa Dodoma.
Ndugu wa marehemu watakutana 
kwa bi Hajjat Mwatum Malale,
51 Mlingotini Close,
Regent Estate,
Kesho jumatatu 30 sept 2013 baada ya saa za kazi.
Wote mnakaribishwa.
Kwa simu piga na 0713317254 au 0752 345602

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Lala salama shangazi mpendwa!

    ReplyDelete
  2. Tina Roboerts FritzSeptember 30, 2013

    Wapendwa ndugu zangu wa kina Mtengeti, na woote wahusika wa msiba huu poleni sana kumpoteza shangazi yetu Rose huko Amerika, Tunamuomba Mungu ampe pumziko la mielele na awape nguvu wafiwa wooote,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...