Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa (kushoto) akiwaongoza
wafanyakazi wa benki hiyo kuwakaribisha wateja wa benki hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, wakiwakaribisha wateja wa benki hiyo kwa kuwafungulia Champagne.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...