Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi,(Mzee Ruksa) wakigonganisha Glasi za maji kama ishara ya kufungua Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Cheti cha Shukurani Katibu wa Rais Haroub Mussa Shaibumkwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano,Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,kutoka na Mchango wake aliokichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika Harambee iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-kama Wilaya ya kaskazini B,Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akipokea Mchango wa Millioni mbili fedha tasilim kutoka kwa Mkereketwa wa CCM Mohamed Naushad,wakati wa Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...