Jamii Production tulipata fursa ya kuhojiana na mlezi-kiongozi wa Hananasif Ophanage Center (HOCET) Ezekia Mwalugaja katika studio zetu hapa Washington DC
Ameeleza mengi kuhusu kituo anachoongoza.
Jinsi kilivyoanza, mahala kilipo, tofauti yake na vituo vingine vya kulelea watoto walio katika mazingira magumu, Pia ameeleza kuhusu jambo / mambo yayayomsikitisha kuhusu vituo vya kulelea watoto walio katika mazingira magumu Tanzania
Kaeleza kuhusu shule waliyoanzisha maalum kwa watoto hao, mafanikio waliyoanyo (ambayo ni ya kujivunia hakika) na mengine mengi yatakayokufanya usijutie muda wako kufuatilia mahojiano haya.
KARIBU UUNGANE NASI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...