Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China Comrade
Ai Pin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na Asha Rose Migiro Katibu wa
Halmashauri Kuu ya Taifa,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China Comrade Ai
Pin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...