Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nimependa
    1. jinsi wasivyo watu wasivyokatiza barabara hovyo,
    2. madereva kuheshimu utaratibu wa matumizi ya barabara siyo kila sehemu unapenda kuovateki.
    3. upandaji miti
    4. vizuizi ktk visiwa vya barabara kuzuia ukatizaji barabara hovyo.

    ReplyDelete
  2. Hivi waTZ mtakuwa watazamaji mpaka lini? Mnalipiwa pesa za walipa kodi kwenda nje kuona wenzetu wanavyofanya, mkirudi hapa mambo yale yale!! Wakiwasema, mnadai wanawaonea wivu!! Hakika kuna jambo kubwa ambalo ni bora kutokea kurekebisha hii hali!! Vibarabara vimejengwa vyembamba kama vichochoro, bado mnaruhusu vipitishe miroli na mabasi humohumo (hata yakizidisha uzito), vikiharibika, tunaongeza mzigo wa mideni!!

    Halafu na sisi watawaliwa tunakosa ustaarabu wa kutumia hizo barabara ndogo, kila dereva anataka kuwahi, watembea kwa miguu wamekuwa wakitolewa kafara kila siku!

    Naomba usalama barabarani waweke kampeni ya kukusanya mapato, nina uhakika kwa mwezi mmoja watakusanya faini za kuendesha vituo kadhaa vya polisi. Dereva akitanua? - laki, akiongea na simu anaendesha? - laki, akipakia au kushusha abiria sehemu isiyoruhusuwa? - yeye laki na abiria nusu-laki, akipiga honi bila sababu? - 30,000, akikatiza kwenye taa nyekundu? - laki na viboko sita, akitupa takataka barabarani (yeye au abiria)? - laki na kuokota takataka mita 100 either direction, akikanyaga mstari wa maelekezo wakati ameegesha gari? - laki, asipoheshimu zebra crossings? - laki, akikatiza relini wakati treni inapita? - train will take care (ila akipona laki). Na sheria nyingine zichukue mkondo wake!!

    Kuna vijana wengi wasio na kazi, wanaweza kusimamia hili na kuripoti kwa wahusika!

    Ustaarabu una gharama yake kuufikia!! Kama watu wamekuwa vicha ngumu tufanyeje??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...