Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika eneo la Mfenesini, wakati wa ziara yake ya kichama katika Wilaya ya Magharibi Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea mabati 100 kutoka kwa Mwakilishi wa viti maalum (CUF) Mhe. Zahra Ali Hamad, kwa ajili ya Ofisi ya Jimbo la Bububu.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika Tawi la Kidatu 'A' Mtoni, wakati wa ziara yake ya kichama katika Wilaya ya Magharibi Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...