Gari lililokuwa limebeba mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele likiwasili katika Makaburi ya tabata segerea Kwaajili ya kuupumzisha Mwili wa Marehemu Kwenye Nyumba yake ya Milele jana jioni katika Makaburi ya Tabata Segerea
Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele wakati lilipowasili kwenye Makaburi ya Tabata Segerea kwaajili ya kuupumzisha mwili wa marehemu Kwenye Nyumba yake ya Milele
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele likipelekwa Katika Kaburi lake kwaajili ya Kuupumzisha Mwili wa Marehemu katika Nyumba yake ya Milele jana jioni katika makaburi ya Tabata Segerea
Mchungaji wa Kanisa la Monrovian la Tabata Segerea Akitoa Neno kabla ya Mazishi ya kuupumzisha mwili wa marehemu Daniel Ambakisye Kamele
Huyo marehemu alikuwa nani kwenye jamii? Naomba kufahamishwa mana blogs zeta za cut n paste hazijatuarifu
ReplyDelete