Kama Mnavyofahamu ,ndugu yetu,Timothy Mshomi, mtoto wa Bariki Mshomi na Anna Kasidi wa Minnesota,amefariki dunia ghafla  Alhamisi asubuhi nyumbani kwao Rogers Minnesota.
Msiba upo katika anuani ifuatayo:
New Wine Church,
810 31st Street West,
Minneapolis MN 55408.
Tunaendelea kukutana leo hii JUMAMOSI 10/12 KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA SITA USIKU kwenye adress hiyo hapo juu.

Kama ilivyo desturi yetu,tafadhali tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kukamilisha shughuli hii na kuwasaidia ndugu zetu katika kipindi hiki kigumu.

Kwa wale waliopo nje ya State au nje ya marekani,mnaweza kutuma michango/rambirambi zenu kwenye Bank account maalum kwa ajili ya shughuli ya msiba huu:-

Bariki Mshomi,
Wellsfargo Bank
Account # 9835036949 .
Routing # :091000019
 Kwa taarifa zaidi kuhusu msiba au chakula/vinywaji unaweza kuwasiliana na:
 Dr.Crispin Semakula  651-983-7637
Gracious Msuya  763-439-5626
Sally Semakula   651-983-7632
Dada Lau    651-329-1421
Jackson Mollel   651-334-0163
MUNGU AKUBARIKI NA MTAARIFU NA MWINGINE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...