Magari yakirekebisha uzito wa  mizigo baada ya kupimwa katika Kituo cha Mizani cha Mikese Mkoani Morogoro
Magari yakiendelea kupimwa katika Kituo cha Mizani cha Kibaha mkoani Pwani
 Gari likiondoka baada ya kupimwa katika mzani wa barabarani likiwa limezingatia ya uzito uliowekwa kisheria
 Upimaji ukiendelea Kibaha
 Barabara ikiwa imebonyea kutokana na uharibifu unaotokana na magari yaliyozidisha uzito zaidi ya viwango vilivyowekwa kisheria..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ni muhimu kuwa na msimamo,tukicheza na hawa watu wa malori..watatufikisha pabaya. hawana uchungu na gharama zinazotumika kujenga hizo barabara..ilimradi mizigo yao imekwenda huo ni ubinafsi

    ReplyDelete
  2. Baarabara inaweza kubonyea kutokana na kiwango duni cha ujenzi uliofanyika..Barabara nyingi Tanzania na Afrika kwa ujumla zinajengwa kwa misingi ya rushwa na ubora wake ni duni sana..Ni makosa kusema malori tu ndio yanaharibu barabara,..zipo ambazo hata baiskeli tu inabonyeza barabara..."WAJIBIKA KWA UADILIFU'"

    ReplyDelete
  3. Siasa mbali na ukweli mbali. Hakuna mahali kusiko na sheria na taratibu zake. Si kila kitu holela. Utii wa sheria bila shuruti.

    ReplyDelete
  4. RELI, RAILWAY, RELI, RAILWAY!!!!

    ReplyDelete
  5. Ewe, RELI, RAILWAY, RELI, RAILWAY!!!!...hujui kuwa wakubwa wamewekeza katika malori hayo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...