Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuizindua rasmi shule ya sekondari ya Miono iliyopo Wilayani Bagamoyo, akishuhudiwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe Philipo MulugoRais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoa wa Pwani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maktaba ya Shule ya Sekondari ya Miono Muda mfupi baada ya kuizindua shule hiyo jana Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani
Nchimbi (Waziri wa Utamadauni wa zamani) alikuwa anatafuta vazi la taifa (la kiume); hilo kavaa Rais wetu Kikwete.
ReplyDeleteAnonymous wa tarehe 11 (Vazi la taifa ) umenifanya nicheke sana asubuhi subuhi. Mie nilikuwa najiuliza mbona hili shati limekaa tofauti tofauti hivi. Mwenzangu ukanipa jibu.
ReplyDelete