Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akiongea na simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya"Timka na Bodaboda"aliejishindia pikipiki, Jumla ya washindi(50)wamejishindia Pikipiki na wengine(22)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.
Ili kujiunga na promosheni hiyo TUMA NENO PROMO kwenda 15544.Kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Abdallah Hemedy.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda"inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya washindi(50)wamejishindia Pikipiki na wengine(22)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...