Pichani ni Sehemu ya Wanafunzi (ambao hawakubainika mara moja ni wa shule gani) wakiwa wamejazana kwenye basi kiasi kwamba wengine wamekosa sehemu za kukaa na badala yake kujikunja namna hii kwenye kioo cha nyuma cha basi hilo.kiukweli hii sio haki kabisa,kwani si uaaji mzuri kiusalama na ukizingatia wazazi wa watoto hawa wanatoa pesa katika shule husika ili watoto wao wasafirishwe salama na kwa umakini.Shule yenye basi hili inajijua,hivyo kuweni makini na watoto wa watu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sasa na wewe mbona umefanya kosa kubwa sn hapa duniani,hata nikikuita ni mwehu sawa tu, why hukuipiga plate number ya hili bus ili tuione kisha sisi wazazi tumfuate kisha tumpe kichapo cha paka mwizi,coz hili nikosa kubwa na lisilokubarika hapa duniani,,naitwa mdudu kakakuona, nipo huku UINGEREZA.nakuombeni mkaee kwa amani na upendo huko nyumbani nawapendeni woote

    ReplyDelete
  2. Sasa wazazi wanakosa gani?

    The problem is availability of public transport....Kama watanzania wanatozwa kodi kwenye bidhaa and services mbalimbali kwa nini selikari inashindwa kuwa na utaratibu wa public transport kwa ajili ya wanafunzi?

    Simple logical, that picture reflects the government performance, period!

    ReplyDelete
  3. mdau tusaidie japo kutuambia picha hii umeipata ni eneo gani.

    ReplyDelete
  4. Mtoaji wa picha hii hujatusaidia, kuficha jina la shule ina maana unawaonea huruma wakati watoto wako katika hatari kubwa??? Nadhani ungetaja jina la shule ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.

    ReplyDelete
  5. Ninyi wadau hapo juu mmechemsha, kwani wazazi watalitambua hili basi bila hata ya plate number, unless watoto wanaenda wenyewe kituoni kupanda basi, but surely there will be a few kids whose parents take them to the bus stop.Na we mdau eti "nawapendeni wote" koma kabisa, unawapenda unawajua? acha unyafuzi wa mawazo, jipende mwenyewe.

    ReplyDelete
  6. Nyie mnaotaka namba ya gari mko out of touch.

    Hao wanafunzi wana options mbili. Moja ni kubanana kama ilivyo hapo kwenye picha na pili ni kuachwa kituoni.

    Mwenye dalala amefanya jambo la maana kuwabeba hao wanafunzi.

    Changamoto iliyopo ni kwa bodi za shule za mijini kutafuta utatuzi wa kudumu wa usafiri wa wanafunzi.

    Hili sio swala la kuhusu namba ya basi au shule moja. Ni tatizo la jiji zima la Dar es Salaam.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...