Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akimuelekeza mdau wafilamu aliyetembelea banda la Bodi ya Filamu katika maonesho ya wiki ya vijana yanayoendelea mjini Iringa.
Mwanasheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Ester Riwa akifafanua jambo kwa mdau wa vijana aliyetembelea banda la Wizara hiyo jana katika maonesho ya wiki ya vijana yanayoendelea mkoani Iringa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...