Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza patikana mara moja,akiwa kando kando ya Barabara huku akipiga gitaa lake kwa kuwaburudisha wenye Magari wanaosimama kusubiri ruhusa ya taa katika moja ya makutano ya njia ndani ya jijini la Johannesbarg,nchini Afrika Kusini. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...