Kamishina wa Polisi Kanda ya Maalum Dar es Salaa, Suleima Kova akiwasiliana na askari wa doria katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, baada ya kituo cha Polisi Kijitonyama Mabatini kukabidhiwa gari lenye mawasiliano kutoka kwa wadau wa Polisi Jamii Manispaa ya Kinondoni.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akitoa hotuba yake wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya gari dogo litakalotumika kwa ajili ya shughuli za kipelelezi katika kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Gari hilo limetolewa na wadau wa Polisi Jamii.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimkabidhi cheti cha shukrani mmoja wa wadau waliofanikisha upatikanaji wa gari hilo.
Picha ya pamoja.
Picha zote na Francis Dande
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...