Kapteni wa timu ya mpira wa miguu ya NMB tawi la Kilombero,Taiti Kamba akipokea kombe la ushindi kwa niaba ya timu yake, kutoka kwa Meneja wa NMB kanda ya Mashariki Bw. Nazareth Lebbi (tatu kushoto) baada ya kuibuka washindi katika bonanza la Ujirani Mwema kwa taasisi zilizopo Kidati-Kilombero lililoshirikisha timu 12. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Ofisa wa Ilovo Romanus Mwaipinga, Mkurugenzi Rasiliamali watu-Ilovo Bw. Beda Marwa, Meneja wa tawi la Kilombero, Bw.Henry Shadolo pamoja na Maofisa kutoka NMB.
Home
Unlabelled
TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA NMB TAWI LA KILOMBERO YAIBUKA KIDEDEA KATIKA BONANZA LA UJIRANI MWEMA KWA TAASISI ZILIZOPO KIDATU-KILOMBERO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...