Wageni mbali mbali wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Banda la Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha East China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai wakati wa Maonyesho ya wanafunzi mbalimbali wa kigeni Katika Chuo hicho,ambapo hupewa mabanda ili waoneshe vitu asilia na mambo mbalimbali yahusuyo nchi yao kwa ujumla.
Mmoja wanafunzi wa Kitanzania katika Chuo Kikuu cha East China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai akimuonyesha mgeni alietembelea banda hilo picha mbali mbali.
Baadhi ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha East China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Huo ndio uzalendo unaotakiwa kufanywa na kila mtanzania aliepo ugaibuni mtu kwao bwana asikwambie mtu,,hiyo kofia tu bao la kisigino kwa wengine,pongezi sn kwenu ndugu zangu

    ReplyDelete
  2. Kweli Vijana wa Tanzania huko China mmeibeba vyema nchi yetu!

    Hongera sana kwa Uzalendo!!!!

    ReplyDelete
  3. Tuwe na Utamaduni wa kufuatilia jinsi watu wanavyo jituma kwa ajili ya kuibeba Bendera ya nchi!

    Tuwe na utamaduni wa kuwapenda wenye moyo wa Uzalendo na kujituma na sio moyo wa ubinafsi na Biashara.

    Hivi jamani kwa nini tusipeane Uongozi kwa vigezo?, mfano Vijana hawa wakirejea nchini baaday ya Masomo yako nje kwa nini wasipewe Kipaumbele kwenye nafasi za Uongozi?

    Ni vile wanaonekana wana nia njema na nchi hivyo wakishika nyadhifa ni wazi pia wataitendea vyema nchi !

    ReplyDelete
  4. Daah!nimeipenda hii... Kwa kweli kama Serikali inasoma na kupitia hii blog basi nimatumaini yangu wameshaona nini cha kufanya kuzidi kuwatia moyo vijana hawa... Hongereni sana ndugu zetu huko...

    ReplyDelete
  5. Big up bro and ur fellows
    Am so proud of you.
    Sina hakika sana kama vitu kama hivi vinapewa shavu na wizara husika ili kuhakikisha nchi yetu inatangazwa na kuimarisha uhusiano wa kimataifa lakini zaidi sana kuwa nafasi ya kuvutia watalii kuja kutembelea vuvutio vya kitalii hapa Tanzania.

    Hongereni sana wakuu

    ReplyDelete
  6. Mnaonekana mna hari na mnafurahia mnachokifanya.
    Mmenibamba vilivyo.
    Hivi ndivyo vitu tunavyovitaka kusikia na kuona vikifaanywa na vijana wetu wa Kitanzania wakiwa nje ya nchi.
    Hongereni kwa uzalendo wenu.
    Natumaini serikali yetu inaliona hili.

    Yaani mmenikosha hadi raha.

    Asante Michuzii kwa kutupa hamasa hii katika picha.

    ReplyDelete
  7. Kizalendo zaidi.
    Hongereni vijana.
    Kazi nzuri

    ReplyDelete
  8. Vijana wametisha sio siri, wanastahili pongezi!

    ReplyDelete
  9. Aiseeee! Hawa vijana ni mashujaaaaaa.. mh. Rais inabid aipate hii. Mmetutendea vyema ndugu zetu na milele mtakua mashujaa kwa kupeperusha bendera ya nchi yetu nzur. Mnastahil kupongezwa pind mrudipo nchini. Majina ya hwa vijana yatajwe na yapelekwe mbele serikal iwatambue hawa watu. Daaah sijui hata niseme nn. Mbarikiwe sanaaaa......

    ReplyDelete
  10. Michuzi asante sana kea kutupa hii raha ya wtz wenzetu wanaofanya vyema huko mbele.

    ReplyDelete
  11. Vijana wanaopenda nchi yao. Big up brother MWM na timu nzima hapo shanghai. U truely Tanzanian and we are proud of you.

    You made my day guys and all the best katika masomo yenu......

    ReplyDelete
  12. These guys are patriots. Wako wapi vijana wengine wanamna hii. Wangeiweka Tz kwenye raman mpya. Thank yu broz. Thanx michiz kwa kaz nzur.

    ReplyDelete
  13. Unajua inashangaza kuona wapo wazalendo na wapenda nchi yetu kiasi hik. Sijui serikali itasema nn juu hawa vijana. Kiukweli wanastahili pongez. Wako ugenn lakin hawasahau asili, nimeona hapo mpaka sukar n majan ya chai ya tz. Asante sana ndugu zetu hata km serikali haitaona hii watz tumeona..... michuzi asante kwa kututendea haki na kuweka hiz picha ww ni wa ukwelii aisee...

    ReplyDelete
  14. nimefurahi sana kuona vijana,,tena wasomi kuitangaza nchi yao kwa kweli nimefurahi sana kwa mimi binafsi

    ReplyDelete
  15. Hongereni sana. Uzalendo ni kitu cha kujivunia. Mmeipeperusha bendera ya Tanzania vizuri.

    ReplyDelete
  16. Saafiii saanaaa. Tanzania ni nchi yetu na Afrika ni moja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...