Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akiifungua rasmi tafrija ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Ukumbi wa Mtenda Sunset mara baada ya kikao cha baraza kilichokuwa kinafanyika kwa siku tatu katika  Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mwamini Malemi. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (katikati) akiwaongoza watumishi wengine wa wizara wake kusakata rumba katika Ukumbi wa Mtenda Sunset baada ya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo cha siku tatu kufungwa katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Wanne kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mwamini Malemi. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa (kushoto) akisakata rumba katika miondoko ya twisti na Mkurugenzi Msaidizi wa wizara hiyo, Nigel Msangi katika Ukumbi wa Mtenda Sunset baada ya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo cha siku tatu kufungwa katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakisakata rumba katika Ukumbi wa Mtenda Sunset huku wengine wakiwaangalia wanavyosakata rumba baada ya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo cha siku tatu kufungwa katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...