Meneja  Mkuu wa Hoteli ya Manta Resort Bwana Methew Saus Maarufu “ Babu kwa Nini “akitoa maelezo ya hatua zilizochukuliwa kukamilisha ujenzi wa chumba cha chini ya Bahari katika Hoteli ya Manta Resort iliyoko Makangale Mkoa wa Kaskazini Pemba.Kushoto ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mh. Said Ali Mbarouk na Naibu wake Mh. Bihindi Hamad.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii ni habari njema katika sekta ya utalii, Zanzibar. Utalii huu unavutia ukilenga watalii wenye pesa za uhakika.

    ReplyDelete
  2. waona abaaaaa twasonga mbele ******

    ReplyDelete
  3. Hoteli ya Vyumba vya ndani ya Bahari!

    Namuomba Mwenyezi Mungu anijaalie baadaya Ndoa yangu adhimu na Mke wangu ktk siku za Fungate nilale ktk chumba hicho na ktk siku hizo za Fungate MIMBA KAREEM iinginje tumboni mwa Mke wangu!

    Amiiiiin Inshallah!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...