Meneja Mkuu wa Hoteli ya Manta Resort Bwana Methew Saus Maarufu “ Babu kwa Nini “akitoa maelezo ya hatua zilizochukuliwa kukamilisha ujenzi wa chumba cha chini ya Bahari katika Hoteli ya Manta Resort iliyoko Makangale Mkoa wa Kaskazini Pemba.Kushoto ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mh. Said Ali Mbarouk na Naibu wake Mh. Bihindi Hamad.
Home
Unlabelled
Balozi seif Iddi atembelea hoteli yenye vyumba ndani ya bahari katika mkoa wa kaskazini Pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii ni habari njema katika sekta ya utalii, Zanzibar. Utalii huu unavutia ukilenga watalii wenye pesa za uhakika.
ReplyDeletewaona abaaaaa twasonga mbele ******
ReplyDeleteHoteli ya Vyumba vya ndani ya Bahari!
ReplyDeleteNamuomba Mwenyezi Mungu anijaalie baadaya Ndoa yangu adhimu na Mke wangu ktk siku za Fungate nilale ktk chumba hicho na ktk siku hizo za Fungate MIMBA KAREEM iinginje tumboni mwa Mke wangu!
Amiiiiin Inshallah!!!