Promota wa mpambano wa masumbwi jijini Dar es Salaam,Kaike Siraju (katikati) akimwinua mkono juu bondia Mohamed Matumla baada ya kumkabidhi pikipiki yake alioibuka nayo kidedea baada ya kumshinda mpinzani wake Nasibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliopigwa siku ya krismas katika Ukumbi wa Friends Corner,Manzese jijini Dar es Salaa.kushoto ni Baba wa bondia huyo Rashidi Matumla na wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa Kamouni ya G S Group Limited wasambazaji wa pikipiki za Haojue ambao wametoa pikipiki hiyo,Bruce Shi.

Meneja Mkuu wa Kampuni ya G S Group Limited wasambazaji wa pikipiki za Haojue ambao wametoa pikipiki hiyo,Bruce Shi akimpongeza bondia Mohamed Matumla baaa ya kumkabidhi bodaboda hiyo.SuperD Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...