Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma
Shamuhuna,wakati alipowasili Chuo Kikuu cha Taifa,kampasi ya
Tunguu,katika sherehe za mahfali ya 9 ya chuo hicho,ambayo wahitimu wa
fani mbali mbali wamepatiwa Shahada,Stashahada na Vyeti.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na walimu wa Chuo Kikuu cha SUZA,alipowasili katika
mahfali ya 9 yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati
Unguja, leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili
kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo
hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja
leo,yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...